-
Matukio Muhimu ya mwaka uliopita2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Kroatia
Katika mwaka uliopita nchi hiyo ilibarikiwa katika njia mbili. Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Kikroatia ilitolewa katika kusanyiko la wilaya, na sehemu mpya ya ofisi ya tawi huko Zagreb ikawekwa wakfu. Ijumaa, Agosti 11 (Mwezi wa 8), watu 142 walisikiliza hotuba ya kuweka wakfu iliyotolewa na Ndugu Jaracz. Sehemu ya kwanza ya ofisi hiyo iliwekwa wakfu miaka saba iliyopita, yaani, mwaka wa 1999.
-
-
Matukio Muhimu ya mwaka uliopita2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Ofisi ya tawi iliyopanuliwa nchini Kroatia
-