-
Nchi Ambazo Zilikuwa Sehemu ya Yugoslavia2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Henrik Kovačić, ambaye ni mshiriki wa Halmashauri ya Tawi huko Kroatia, anakumbuka: “Kwa karibu mwaka mmoja, nilitumika pamoja na mke wangu nikiwa mwangalizi wa mzunguko mwishoni mwa juma, na baadaye nikawa mwangalizi anayesafiri wa wakati wote.
-
-
Nchi Ambazo Zilikuwa Sehemu ya Yugoslavia2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
HENRIK KOVAČIĆ
ALIZALIWA 1944
ALIBATIZWA 1962
MAELEZO MAFUPI KUMHUSU Alitumika mwaka wa 1973 akiwa mwangalizi anayesafiri mwishoni mwa juma, na baadaye kuanzia mwaka wa 1974 mpaka 1976, aliwekwa rasmi kuwa mwangalizi anayesafiri wa wakati wote. kwa sasa yeye ni mshiriki wa Halmashauri ya Tawi ya Kroatia.
-