-
MsalabaKutoa Sababu kwa Kutumia Maandiko
-
-
Chombo ambacho Yesu Kristo aliuawa juu yake huitwa na walio wengi katika Jumuiya ya Wakristo kuwa msalaba (Kiingereza, cross). Neno hilo la Kiingereza linatokana na neno la Kilatini, crux.
-
-
MsalabaKutoa Sababu kwa Kutumia Maandiko
-
-
Hata kati ya Waroma crux (chanzo cha neno la Kiingereza cross), yaonekana kwamba mwanzoni ilikuwa nguzo iliyonyooka.”—Iliyohaririwa na P. Fairbairn (London, 1874), Buku la 1, uku. 376.
-