-
Kujitahidi Kuwa WashindiUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
6. (a) Ni kwa nini Wakristo katika Smirna hawakupaswa kuogopa? (b) Yesu alimaliziaje ujumbe wake kwa kundi katika Smirna?
6 Hata hivyo, hao Wakristo katika Smirna hawapaswi kuogopa au kuacha msimamo wao. Ikiwa wao wanabaki waaminifu mpaka mwisho, wamewekewa “taji la uhai” kuwa thawabu, kwao ikiwa ni uhai usioweza kufa katika mbingu. (1 Wakorintho 9:25; 2 Timotheo 4:6-8, NW) Mtume Paulo aliiona zawadi hii yenye thamani kubwa kuwa inastahili kudhabihiwa kila kitu kinginecho chote, hata uhai wake wa kidunia. (Wafilipi 3:8)
-
-
Kujitahidi Kuwa WashindiUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Jithibitishe mwenyewe kuwa mwaminifu mpaka hata kifo, na mimi nitakupa wewe taji la uhai.” (Ufunuo 2:10, NW)
-