-
Yehova Ni Ngome na Nguvu YanguMnara wa Mlinzi—2000 | Februari 1
-
-
Karibu na wakati huo, Baba akanipa kitabu kimoja cha Kifaransa kinachozungumzia mateseko ya Mashahidi wa Ujerumani kwa kukataa kuunga mkono harakati za vita za Adolph Hitler.a Nilichochewa kujiunga na watu kama hawa wenye mifano mizuri ya moyo mkuu ya kushika uaminifu wa maadili, nikaanza kuhudhuria mikutano ya Mashahidi wa Yehova katika nyumba fulani. Punde si punde nikaalikwa nishiriki katika kazi ya kuhubiri. Nikakubali mwaliko huo nikijua wazi kwamba ningekamatwa na kufungwa.
-
-
Yehova Ni Ngome na Nguvu YanguMnara wa Mlinzi—2000 | Februari 1
-
-
a Kitabu hicho kilichapishwa kwanza katika Kijerumani kikiitwa Kreuzzug gegen das Christentum (Krusedi Dhidi ya Ukristo). Kilitafsiriwa katika Kifaransa na Kipoland lakini hakikutafsiriwa katika Kiingereza.
-