-
Ziara ya Kihistoria Yafanya Kisiwa KishangilieMnara wa Mlinzi—1999 | Mei 15
-
-
Katika Septemba 1994, kazi ya uchapaji ilianzishwa katika Makao ya Betheli ya Havana.
-
-
Ziara ya Kihistoria Yafanya Kisiwa KishangilieMnara wa Mlinzi—1999 | Mei 15
-
-
Ingawa vitabu na Biblia za ndugu wa Kuba huchapiwa Italia, chapa za rangi nyeusi na nyeupe za magazeti ya Mnara wa Mlinzi na Amkeni! huchapishwa Kuba kwenyewe kwa mashine mbili za urudufishaji. Muda mwingi pamoja na kazi ya mikono ya kurudiwa-rudiwa, ambayo hufanyiwa mahali penye kufinyana, huhitajika ili kuchapa magazeti yote yanayohitajiwa.
-