Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Sehemu ya 3—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Umati Mkubwa Waanza Kujidhihirisha Katika Amerika ya Latin

      Katikati ya miaka ya vita, katika Februari 1943, wakipanga kwa ajili ya kazi ambayo ingefanywa wakati wa baada ya vita, Watch Tower Society ilianzisha Shule ya Gileadi katika Jimbo la New York ili kuzoeza wamishonari kwa ajili ya utumishi katika nchi za kigeni. Kabla ya mwisho wa mwaka, 12 kati ya wamishonari hao walikuwa tayari wameanza kutumikia katika Kuba. Shamba huko lilithibitika kuwa lenye kuzaa sana.

  • Sehemu ya 3—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Hata kabla ya wamishonari waliozoezwa Gileadi kuwasili katika 1943, katika Kuba mlikuwamo 950 waliokuwa wamekubali habari njema nao walikuwa wakiihubiri kwa wengine, ingawa si wote waliokuwa wakishiriki kwa ukawaida. Wakati wa miaka miwili kufuatia kuwasili kwa wamishonari, hesabu iliongezeka kwa kasi hata zaidi. Kufikia 1945, Mashahidi wa Yehova katika Kuba walikuwa 1,894.

  • Sehemu ya 3—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Kufikia mwishoni-mwishoni mwa 1945, wamishonari kutoka Shule ya Gileadi walikuwa tayari wameanza utumishi katika nchi 18 katika sehemu hii ya ulimwengu

      Charles na Lorene Eisenhower

      Kuba

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki