-
Sehemu ya 3—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Mapema katika 1944, N. H. Knorr, F. W. Franz, W. E. Van Amburgh, na M. G. Henschel walitumia siku kumi katika Kuba kuimarisha ndugu kiroho humo. Katika pindi hiyo mkusanyiko ulifanywa katika Havana, na mipango ilitolewa kwa ajili ya kuratibu vizuri zaidi kazi ya kuhubiri.
-
-
Sehemu ya 3—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
[Picha katika ukurasa wa 458]
Mashahidi Wakuba kwenye mkusanyiko katika Cienfuegos katika 1939
-