-
Kwa Nini Uwaheshimu Waliozeeka?Mnara wa Mlinzi—2010 | Mei 15
-
-
MTI mmoja ulio kando ya pwani ya California, huko Marekani ni kati ya miti inayopigwa picha nyingi zaidi duniani. Mti huo wa mvinje unaitwa Lone Cypress. Inaripotiwa kwamba mti huo umekuwapo kwa miaka zaidi ya 250. Mti huo wenye kuvutia sana unajulikana kwa sababu ya ustahimilivu wake na unatunzwa kwa njia mbalimbali. Kwa mfano, umeshikiliwa kwa nyaya na mawe yaliyowekwa kuzunguka shina lake.
-
-
Kwa Nini Uwaheshimu Waliozeeka?Mnara wa Mlinzi—2010 | Mei 15
-
-
[Picha katika ukurasa wa 7]
Kama vile mti wa “Lone Cypress” unavyohitaji kushikiliwa, waliozeeka wanahitaji kutendewa kwa heshima sana
[Hisani]
American Spirit Images/age fotostock
-