-
Nilitawalwa na Imani Katika Mungu Nchini UkomunistiAmkeni!—1996 | Aprili 22
-
-
Tangu kuanguka kwa Ukomunisti, Mashahidi wa Yehova wamekuwa na mikusanyiko mikubwa mingi katika Ulaya Mashariki. Watu zaidi ya 74,000 walihudhuria huu katika Prague katika 1991
-
-
Nilitawalwa na Imani Katika Mungu Nchini UkomunistiAmkeni!—1996 | Aprili 22
-
-
Mara tu baada ya kurudi kutoka Uingereza, nilianza kusaidia kutayarisha kwa ajili ya mkusanyiko mkubwa wa Mashahidi wa Yehova uliofanywa Agosti 9 hadi 11 kwenye Stediamu ya Strahov iliyo kubwa katika Prague. Kwenye pindi hiyo watu 74,587 kutoka nchi nyingi walikutana kwa uhuru ili kumwabudu Mungu wetu, Yehova!
-