Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Nilitawalwa na Imani Katika Mungu Nchini Ukomunisti
    Amkeni!—1996 | Aprili 22
    • Katika 1976, nilikuwa nimepewa mgawo kutumikia kwenye halmashauri inayosimamia kazi ya kuhubiri ya Mashahidi wa Yehova katika Chekoslovakia. Lakini kwa kuwa maisha yangu yalikuwa yamechunguzwa kwa ukaribu na polisi wa siri kwa sababu ya yale niliyofanya bila ya kufikiri kuzuri katika mambo yaliyotangulia kutajwa mapema, niliachishwa kutumikia katika halmashauri ya nchi na kwenye mapendeleo mengine mbalimbali. Mojawapo mapendeleo hayo nililopenda sana lilikuwa lile la kufundisha waangalizi wasafirio na mapainia, kama waitwavyo wahudumu wa wakati wote.

  • Nilitawalwa na Imani Katika Mungu Nchini Ukomunisti
    Amkeni!—1996 | Aprili 22
    • Kwa karibu miaka minne, nimekuwa nikifanya kazi ofisini Prague, ambapo natumika tena kwenye halmashauri inayosimamia kazi ya Mashahidi wa Yehova katika Jamhuri ya Cheki.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki