-
Imani Yajaribiwa Huko SlovakiaAmkeni!—2002 | Desemba 22
-
-
Mnamo mwaka wa 1947 kusanyiko jingine la kitaifa lilifanywa huko Brno. Wakati huo, Nathan H. Knorr, Milton G. Henschel, na Hayden C. Covington, waliozuru kutoka makao makuu ya ulimwengu ya Mashahidi wa Yehova huko Brooklyn, New York, walitoa hotuba zenye kutia moyo. Nilipendelewa kutafsiri hotuba zao.
-
-
Imani Yajaribiwa Huko SlovakiaAmkeni!—2002 | Desemba 22
-
-
[Picha katika ukurasa wa 22]
Nikiwa na Nathan H. Knorr kwenye kusanyiko la mwaka wa 1947 huko Brno
-