Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wakati wa Kuja Kwa Mesiya Wafunuliwa
    Sikiliza Unabii wa Danieli!
    • “Katika mwaka wa kwanza wa Dario, mwana wa Ahasuero, wa uzao wa Wamedi, aliyetawazwa kuwa mfalme juu ya milki ya Wakaldayo;

  • Wakati wa Kuja Kwa Mesiya Wafunuliwa
    Sikiliza Unabii wa Danieli!
    • Danieli 9:1, 2; Yeremia 25:11.

      3 Wakati huo Dario Mmedi alikuwa akitawala “milki ya Wakaldayo.” Mambo ambayo Danieli alikuwa ametabiri awali alipokuwa akifafanua mwandiko wa mkono ukutani yalikuwa yametimizwa haraka. Milki ya Babiloni haikuwepo tena. Ilikuwa ‘imepewa Wamedi na Waajemi’ mwaka wa 539 K.W.K.—Danieli 5:24-28, 30, 31.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki