Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Desemba 15
    • Ni lazima ikaziwe kwamba hata kabla ya kufukuzwa, wakati malaika hao waovu walipokuwa bado wanaweza kuingia mbinguni, hawakuwa sehemu ya familia ya Mungu, bali walikuwa wamewekewa vizuizi hususa. Kwa mfano, andiko la Yuda 6 linafunua kwamba katika karne ya kwanza W.K., malaika hao walikuwa tayari ‘wamewekwa akiba wakiwa na vifungo vya milele chini ya giza zito ya kiroho kwa ajili ya hukumu ya ile siku kuu.’ Vivyo hivyo, andiko la 2 Petro 2:4 linasema: “Mungu hakujizuia kuwaadhibu wale malaika waliofanya dhambi, bali, kwa kuwatupa ndani ya Tartaro, [hali ya kushushwa kabisa] aliwatia ndani ya mashimo yenye giza zito [la kiroho] ili wawekwe akiba kwa ajili ya hukumu.”b

  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Desemba 15
    • b Mtume Petro alilinganisha hali hiyo ya kutengwa kiroho na kufungwa “gerezani.” Hata hivyo, yeye hakumaanisha ile “abiso” ya baadaye ambayo roho waovu watatupwa kwa miaka elfu moja.—1 Petro 3:19, 20; Luka 8:30, 31; Ufunuo 20:1-3.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki