Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ‘Baraka kwa Waadilifu’
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Julai 15
    • Akonyezaye kwa jicho huleta masikitiko; bali mpumbavu mwenye maneno mengi ataanguka.”—Mithali 10:9, 10.

  • ‘Baraka kwa Waadilifu’
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Julai 15
    • Hali ya mtu anayewadanganya wengine kwa sababu ya faida ya binafsi ni tofauti. Mdanganyifu huenda akajaribu kufunika udanganyifu wake kwa maneno ya uwongo au ishara za mwili. (Mithali 6:12-14) Mdanganyifu anayekonyeza jicho lake ili kudanganya na kwa nia ovu, anaweza kuwaumiza wengine sana kiakili. Lakini siku moja udanganyifu wa mtu huyo utajulikana. Mtume Paulo aliandika hivi: “Dhambi za watu wengine hudhihirika waziwazi kwa watu wote, zikiongoza moja kwa moja kwenye hukumu, lakini kwa habari ya watu wengine pia dhambi zao hudhihirika baadaye. Katika njia ileile pia kazi zilizo bora hudhihirika waziwazi kwa watu wote na zile zilizo tofauti haziwezi kuwekwa zikiwa zimefichwa.” (1 Timotheo 5:24, 25) Haidhuru ni nani anayehusika—kama ni mzazi, rafiki, mwenzi wa ndoa, au mtu unayemfahamu kidogo tu—hatimaye, udanganyifu utakuja kufichuliwa. Ni nani awezaye kumwamini mtu ambaye anajulikana kuwa mdanganyifu?

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki