-
Matetemeko ya Dunia Katika Siku ya BwanaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
1, 2. (a) Ikoje kuishi kupitia tetemeko la dunia kali? (b) Yohana anaeleza habari ya nini wakati kifungo cha sita kinapofunguliwa?
JE! WEWE umewahi kuishi kupitia tetemeko la dunia kali? Si ono zuri. Mtetemeko mkubwa huenda ukaanza kwa msukosuko wenye kugonjwesha na kelele yenye mtutumo. Myumboyumbo huenda ukazidi kuwa mbaya vipindi kwa vipindi na huku wewe ukikimbilia usalama—pengine chini ya dawati. Au huenda likaja likiwa mshtuo wa ghafula, wenye kuvunjavunja, ukifuatwa na kuvunjikavunjika kwa vikombe na sahani, samani na hata majengo. Uharibifu huenda ukawa wenye kuleta hasara sana, kukiwa na mishtuo ya baadaye ikileta uharibifu zaidi na kuongezea janga.
-
-
Matetemeko ya Dunia Katika Siku ya BwanaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
a Matetemeko ya dunia halisi mara nyingi hutanguliwa na misukosuko yenye mtutumo ambayo husababisha mbwa kubweka au kutenda bila kutulia na hutaharakisha wanyama wengine na samaki, ingawa huenda wanadamu wasishuku mpaka tetemeko lenyewe linapopiga.—Ona Amkeni (Kiingereza), Julai 8, 1982, ukurasa 14.
-