-
Kasirani ya Mungu Yaletwa Kwenye TamatiUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na meme na sauti na ngurumo zikatukia, na tetemeko la dunia kubwa likatukia kama ambalo halikuwa limetukia tangu watu walipokuja kuwa juu ya dunia, tetemeko la dunia lenye kuenea mno, kubwa mno. Na jiji kubwa likatengana kuwa sehemu tatu, na majiji ya mataifa yakaanguka; na Babuloni Mkubwa akakumbukwa katika mwono wa Mungu, ili kumpa yeye kikombe cha divai ya kasirani ya hasira-kisasi yake. Pia, kila kisiwa kikakimbia, na milima haikupatikana.
-
-
Kasirani ya Mungu Yaletwa Kwenye TamatiUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Aina ya binadamu itatikiswa kwa njia ambayo haijatukia kamwe kabla ya hapo, kana kwamba kwa tetemeko la dunia lenye kukumba. (Linga Isaya 13:13; Yoeli 3:16.) Mtikiso huu wenye kulipua kama bomu utabomoa “jiji kubwa,” Babuloni Mkubwa, hivi kwamba hutengana kuwa “sehemu tatu”—ufananisho wa kuanguka kwalo ndani ya uangamivu usiokomboleka. Pia, “majiji ya mataifa” yataanguka. “Kila kisiwa” na “milima”—mashirika na matengenezo yanayoonekana ni ya kudumu sana katika huu mfumo—yataenda.
-