Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Tauni za Yehova juu ya Jumuiya ya Wakristo
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Kuvurumisha Moto Kwenye Dunia

      6. Kunakuwa na nini baada ya hicho kimya katika mbingu, na ni katika kuitikia nini?

      6 Yohana anatuambia: “Lakini mara hiyo malaika akachukua chombo cha uvumba, na kukijaza baadhi ya moto wa madhabahu na kuuvurumisha kwenye dunia. Na ngurumo zikatukia na sauti na meme na tetemeko la dunia.” (Ufunuo 8:5, NW) Baada ya kimya, kuna utendaji wa ghafula wenye kutazamisha! Kwa wazi huo ni katika kuitikia “sala za watakatifu,” kwa kuwa huo unaanzishwa na moto uliochukuliwa kutoka madhabahu ya uvumba. Huko nyuma katika 1513 K.W.K. kwenye Mlima Sinai, ngurumo na meme, kelele kubwa, moto, na kutetemeka kwa mlima viliashiria kugeuzwa kwa uangalifu wa Yehova kuelekea watu wake. (Kutoka 19:16-20) Madhihirisho kama hayo yanayoripotiwa na Yohana hali kadhalika huonyesha uangalifu wa Yehova ukitolewa kwa watumishi wake duniani. Lakini anachoona Yohana kinatolewa kwa ishara. (Ufunuo 1:1, NW) Kwa hiyo moto, ngurumo, sauti, meme, na tetemeko la dunia vya ufananisho vitafasiriwaje leo?

  • Tauni za Yehova juu ya Jumuiya ya Wakristo
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Kama mimeto ya umeme, miale miangavu ya ukweli iliangaza kutoka Neno la Yehova la kiunabii, na tetemeko la dunia lenye nguvu likaanza kutikisa milki ya kidini mpaka misingi yayo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki