Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutumika Wakati wa Ongezeko Kubwa Ajabu
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Septemba 15
    • Ndugu mmoja alitupatia uwanja wa ekari 80 nje ya Guayaquil. Mwaka wa 1984 tulianza kujenga kwenye uwanja huo ofisi mpya ya tawi na Jumba la Kusanyiko, na majengo hayo yakawekwa wakfu mwaka wa 1987.

  • Kutumika Wakati wa Ongezeko Kubwa Ajabu
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Septemba 15
    • Mwaka wa 2005, idadi ya wahubiri iliongezeka na kupita 50,000, na kukawa na uhitaji wa kupanua zaidi ofisi ya tawi. Kazi hiyo ilitia ndani kujenga Jumba kubwa zaidi la Kusanyiko na jengo jipya la makao, na pia ofisi za kutafsiri. Majengo hayo mapya yaliwekwa wakfu Oktoba 31, 2009.

  • Kutumika Wakati wa Ongezeko Kubwa Ajabu
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Septemba 15
    • [Picha katika ukurasa wa 5]

      Kusanyiko lililofanywa nje (1981) na Jumba la Kusanyiko la Guayaquil (2009) kwenye uwanja uleule

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki