Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutumika Wakati wa Ongezeko Kubwa Ajabu
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Septemba 15
    • Kufikia mwaka wa 1980, kulikuwa na wahubiri 5,000 hivi nchini Ekuado. Ofisi yetu ya tawi iliendelea kuwa ndogo kwa sababu ya ongezeko kubwa la wahubiri katika eneo.

  • Kutumika Wakati wa Ongezeko Kubwa Ajabu
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Septemba 15
    • Mwaka wa 2005, idadi ya wahubiri iliongezeka na kupita 50,000, na kukawa na uhitaji wa kupanua zaidi ofisi ya tawi.

  • Kutumika Wakati wa Ongezeko Kubwa Ajabu
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Septemba 15
    • Tulipokuja Ekuado mwaka wa 1966, kulikuwa na wahubiri wa Ufalme 1,400 hivi nchini. Sasa kuna wahubiri zaidi ya 68,000. Na bado wengine wengi watajiunga nasi kutokana na mafunzo ya Biblia 120,000 yanayoongozwa na zaidi ya watu 232,000 ambao walihudhuria Ukumbusho wa kifo cha Kristo mwaka wa 2009.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki