-
Siku Yenye Furaha na Matazamio MakubwaMnara wa Mlinzi—2011 | Agosti 1
-
-
Barry Hill aliyetumika nchini Ekuado na Jamhuri ya Dominika,
-
-
Siku Yenye Furaha na Matazamio MakubwaMnara wa Mlinzi—2011 | Agosti 1
-
-
Kwa mfano Ndugu Hill alieleza jinsi yeye na mke wake walivyohitaji kuzoea mabadiliko ya hali ya hewa nchini Ekuado. Nyakati nyingine kunakuwa na joto na vumbi, na nyakati nyingine joto na matope. Anakumbuka kwamba kwa miaka miwili na nusu, walioga kwa kutumia ndoo. Lakini hawakufikiria kuacha mgawo wao; waliuona kuwa baraka kutoka kwa Yehova. “Tulihisi kuwa hali hizo ni sehemu ya maisha yetu,” akasema.
-