-
Maktaba Funguo za Kupata UjuziAmkeni!—2005 | Mei 22
-
-
Maktaba hiyo kubwa zaidi ilijengwa na Tolemi wa Kwanza Soteri, mmoja wa majenerali wa Aleksanda Mkuu, karibu mwaka wa 300 K.W.K. Ilijengwa katika jiji la bandarini la Aleksandria, Misri, na wasimamizi wa maktaba hiyo walijitahidi kukusanya nakala nyingi za maandishi yaliyokuwapo ulimwenguni.b Kulingana na mapokeo, wale wasomi 70 hivi walianza kutafsiri Maandiko ya Kiebrania katika Kigiriki huko Aleksandria. Baadaye, tafsiri hiyo iliitwa Septuajinti ya Kigiriki na ilitumiwa sana na Wakristo wa mapema.
-
-
Maktaba Funguo za Kupata UjuziAmkeni!—2005 | Mei 22
-
-
[Picha katika ukurasa wa 19]
Maktaba ya Aleksandria, Misri, karibu mwaka wa 300 K.W.K.
[Hisani]
From the book Ridpath’s History of the World (Vol. II)
-