-
Mungu wa Kweli Anatabiri UkomboziUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
niviambiaye vilindi, Kauka, nami nitaikausha mito yako;
-
-
Mungu wa Kweli Anatabiri UkomboziUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Yehova anatoa hata maelezo madogo-madogo kuhusu maarifa ambayo Koreshi atatumia kuupenya mfumo mkubwa sana wa Babiloni ulio na kinga nyingi. Babiloni italindwa na kuta ndefu na mapito ya maji yanayotiririka ndani ya jiji na vizingo vyake. Koreshi atageuza sehemu kubwa ya mfumo huo—ule Mto Eufrati—itimize lengo lake. Kulingana na wanahistoria wa kale Herodotus na Xenophon, katika upande fulani wa juu wa Babiloni, Koreshi aliyaelekeza kando maji mengi ya Mto Eufrati maji yakapungua kiasi cha askari zake kupita kwa miguu. Eufrati unakauka kwa maana ya kwamba hauwezi kulinda Babiloni.
-