-
Kitabu Kinachotegemeka—Sehemu ya 6Amkeni!—2011 | Aprili
-
-
Kwa mfano, Yesu alipoingia Yerusalemu akiwa amebebwa na mwana-punda, alilia na kutabiri jinsi ambavyo majeshi ya Roma yangeharibu jiji hilo. Yesu alisema: “Siku zitakuja juu yako wakati adui zako watakapojenga kukuzunguka ngome yenye miti iliyochongoka nao watakuzunguka
-
-
Kitabu Kinachotegemeka—Sehemu ya 6Amkeni!—2011 | Aprili
-
-
Jiji la Yerusalemu lilipatwa na nini? Majeshi ya Roma yalirudi, yakiongozwa na Vespasiani na mwana wake Tito—wakati huu majeshi hayo yalikuwa na askari-jeshi 60,000. Yaliingia kwenye jiji hilo kabla ya Pasaka ya mwaka wa 70 W.K., na kuwanasa wakaaji na wasafiri wengine kutoka maeneo mengine waliokuwa wamekuja jijini humo kwa ajili ya sherehe hiyo. Majeshi ya Roma yalikata miti yote katika wilaya hiyo ili kujenga ukuta wenye miti iliyochongoka, kama vile tu Yesu alivyokuwa ametabiri. Baada ya miezi mitano hivi, jiji hilo lilianguka.
-