-
Kuchapa na Kugawanya Neno Takatifu la Mungu MwenyeweMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Biblia New World Translation of the Christian Greek Scriptures ilitolewa katika Kifaransa mwaka 1963, ikifuatwa na Biblia yote katika 1974. Kufikia 1992 jumla ya pamoja ya nakala 2,437,711 za New World Translation zilikuwa zimesafirishwa ili zigawanywe katika Ufaransa; na idadi ya Mashahidi wa Yehova katika Ufaransa ikaongezeka kwa asilimia 488 wakati wa kipindi hichohicho, kufikia jumla ya 119,674.
-
-
Kuchapa na Kugawanya Neno Takatifu la Mungu MwenyeweMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
[Grafu katika ukurasa wa 613]
(Ona mpangilio kamili katika nakala iliyochapishwa)
Ukuzi wa Mashahidi Tangu Kutangazwa kwa “New World Translation”
Ufaransa
150,000
100,000
50,000
1963 1970 1980 1992
-