-
Tukio Lisiloweza Kusahaulika Katika UfaransaMnara wa Mlinzi—1998 | Julai 1
-
-
Msongamano wa watu wenye shangwe kubwa, wapatao 1,187, kutia ndani washiriki 300 wa familia ya Betheli ya Ufaransa, na wajumbe 329 kutoka ofisi nyingine za tawi zipatazo 42, walikusanyika Jumamosi, Novemba 15, 1997, ili kusikiliza hotuba ya kuweka wakfu iliyotolewa na Ndugu Lloyd Barry, mshiriki wa Baraza Linaloongoza.
-
-
Tukio Lisiloweza Kusahaulika Katika UfaransaMnara wa Mlinzi—1998 | Julai 1
-
-
Ndugu Barry alizungumza juu ya “Yehova Huongeza Nguvu,” naye alionyesha waziwazi jinsi ambavyo Yehova amewabariki watu wake kwa ongezeko licha ya majaribu mbalimbali.
-