Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aa
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Lilikuwa lina ukuta mkubwa na ulioinuka juu sana na lilikuwa lina malango kumi na mawili, na kwenye malango malaika kumi na wawili, na majina yalikuwa yamechorwa ambayo ni yale ya makabila kumi na mawili ya wana wa Israeli. Katika mashariki kulikuwa na malango matatu, na kaskazini malango matatu, na kusini malango matatu, na magharibi malango matatu.

  • Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aa
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Ufunuo 21:11b-

  • Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aa
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 4. Ni nini kinachoonyesha kwamba Yerusalemu Jipya si taifa la Israeli wa mnofu?

      4 Kwenye malango yalo 12, yamechorwa majina ya makabila 12 ya Israeli. Kwa hiyo, jiji hili la ufananisho ni lenye 144,000, waliotiwa muhuri “kutoka kila kabila la wana wa Israeli.” (Ufunuo 7:4-8, NW)

  • Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aa
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Pia, malango kumi na mawili yalikuwa lulu kumi na mbili; kila lango lilikuwa limefanyizwa kwa lulu moja. Na njia pana ya jiji ilikuwa dhahabu safi, kama kioo chenye kuona ndani.”—Ufunuo 21:18-21, NW.

  • Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aa
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Malango 12 ya jiji, kila moja likiwa lulu moja ya uzuri mkubwa, hukumbusha kielezi cha Yesu kilichofananisha Ufalme na lulu moja ya thamani kubwa. Wote ambao huingia kupitia malango haya watakuwa wamekwisha onyesha uthamini wa kweli kwa ajili ya thamani za kiroho.—Mathayo 13:45, 46; linga Ayubu 28:12, 17, 18.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki