Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Uvumilivu Huleta Shangwe
    Mnara wa Mlinzi—2006 | Julai 1
    • Mradi Niliofuatia

      Mnamo 1946, nilialikwa kuhudhuria Kusanyiko la Kitheokrasi la Mataifa Yenye Nderemo katika jiji la São Paulo. Nahodha wa meli ya mizigo huko Salvador alikubali baadhi yetu tusafiri katika meli yake maadamu tungelala kwenye sitaha. Licha ya kukabiliana na dhoruba iliyofanya tupate kichefuchefu, tulifika salama katika bandari ya Rio de Janeiro baada ya kukaa baharini kwa muda wa siku nne. Mashahidi huko Rio walitukaribisha tupumzike nyumbani kwao kwa siku kadhaa kabla ya kuendelea na safari yetu kwa gari la moshi. Gari la moshi tulilosafiri nalo lilipofika São Paulo, tulikaribishwa na kikundi kidogo kilichobeba mabango yaliyoandikwa “Karibuni Mashahidi wa Yehova.”

  • Uvumilivu Huleta Shangwe
    Mnara wa Mlinzi—2006 | Julai 1
    • [Picha katika ukurasa wa 10]

      Mashahidi wawasili São Paulo kwa ajili ya Kusanyiko la Mataifa Yenye Nderemo, mnamo 1946

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki