Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Unatimiza Wajibu Wako Wote kwa Mungu?
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Novemba 15
    • Yeye alisema: “Maneno yao wenye hekima huwa mfano wa michokoro; na kama misumari iliyogongomewa sana; ndivyo yalivyo maneno yao walio wakuu wa makusanyiko [“mikusanyo ya maneno,” NW], ambayo yatoka kwa mchungaji mmoja.

  • Je, Unatimiza Wajibu Wako Wote kwa Mungu?
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Novemba 15
    • 13. Maneno ya wale ambao wana hekima ya kimungu yanawezaje kuwa kama michokoro, na ni nani walio kama ‘misumari inayogongomewa sana’?

      13 Maneno ya wale wenye hekima ya kimungu huwa kama michokoro. Kwa njia gani? Hayo huwachochea wasomaji au wasikilizaji wafanye maendeleo kwa kupatana na maneno yenye hekima yanayosomwa au kusikizwa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki