Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ole wa Kwanza—Nzige
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Katika kuitikia tarumbeta ya tano, upande fulani hasa wa hukumu hizi ulikaziwa kwenye mkusanyiko wa Wanafunzi wa Biblia katika London, Uingereza, Mei 25-31, 1926. Huo ulitoa azimio “Ushahidi kwa Watawala wa Ulimwengu,” na hotuba ya watu wote katika Royal Albert Hall juu ya “Sababu Serikali za Ulimwengu Zinaterereka—Kiponyi,” maandishi kamili ya haya yote mawili yalichapwa katika nyusipepa mbili kuu za London kesho yake.

  • Ole wa Kwanza—Nzige
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • [Picha katika ukurasa wa 147]

      Royal Albert Hall, mahali kitabu Deliverance kilipotolewa na azimio “Ushahidi kwa Watawala wa Ulimwengu” likakubaliwa

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki