-
Mto Thames—Urithi wa Pekee wa UingerezaAmkeni!—2006 | Februari
-
-
Maliki Mroma Claudius ndiye aliyeshinda Uingereza miaka 90 baadaye.
Wakati huo vinamasi vilienea pande zote za ukingo wa Mto Thames, lakini mahali ambapo mkondo hubadilika kilometa 50 hivi kutoka kwenye mlango wake wa bahari, jeshi la Roma lilijenga daraja la mbao baadaye. Hapo kwenye ukingo wa kaskazini wa mto walijenga bandari waliyoita Londinium.a
-
-
Mto Thames—Urithi wa Pekee wa UingerezaAmkeni!—2006 | Februari
-
-
a Ingawa jina London linatokana na neno la Kilatini Londinium, maneno yote mawili yanaweza kutolewa katika maneno ya Kiselti llyn na din, ambayo yakiwa pamoja yanamaanisha “mji [au ngome] ulio kwenye ziwa.”
-