-
Mkono wa Yehova Haujawa MfupiUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
2, 3. Kwa nini Yehova halindi Yuda?
2 Ebu wazia—watu wa agano la Yehova wamerudi nyuma wakawa waasi-imani! Wamempa kisogo Mfanyi wao, wakajiondoa chini ya mkono wake wa ulinzi. Basi wanasononeka vikali. Je, labda wanamlaumu Yehova kwa magumu yanayowapata? Isaya anawaambia hivi: “Tazama, mkono wa BWANA haukupunguka [“haujawa mfupi ,” “NW”], hata usiweze kuokoa wala sikio lake si zito, hata lisiweze kusikia;
-
-
Mkono wa Yehova Haujawa MfupiUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
3 Maneno hayo yamesemwa kinagaubaga, lakini ni ya kweli. Yehova angali Mungu wa wokovu. Kwa kuwa ndiye “Msikiaji wa sala,” Yeye husikiliza sala za watumishi wake waaminifu. (Zaburi 65:2, NW)
-