-
Kielelezo cha Kujidhabihu na cha Uaminifu-MshikamanifuMnara wa Mlinzi—1997 | Novemba 1
-
-
Kwa wazi, baadhi ya kazi zake zilikuwa za hali ya chini, kwa maana alipata kujulikana kuwa mmoja “[aliye]mimina maji juu ya mikono yake Eliya.”c (2 Wafalme 3:11)
-
-
Kielelezo cha Kujidhabihu na cha Uaminifu-MshikamanifuMnara wa Mlinzi—1997 | Novemba 1
-
-
c Ilikuwa desturi kwa mtumishi kuyamimina maji juu ya mikono ya bwana-mkubwa wake ili kuiosha, hasa baada ya milo. Zoea hilo lilifanana na kuosha miguu, tendo ambalo lilikuwa la ukaribishaji-wageni, staha, na katika mahusiano fulani, tendo la unyenyekevu.—Mwanzo 24:31, 32; Yohana 13:5.
-