-
Kutembelea Kituo cha Viungo BandiaAmkeni!—2006 | Februari
-
-
Alinionyesha mkono mdogo na kunieleza kwamba viungo bandia kama hivyo huunganishwa kwenye gutu la watoto wachanga wenye miezi sita hivi. Kwa nini? Ili kumzoeza jinsi atakavyotumia mkono bandia wakati ujao. Mtaalamu huyo alisema kwamba bila mazoezi hayo, mtoto huyo atakua akitumia mkono mmoja na hivyo itakuwa vigumu kuanza kutumia mikono miwili baadaye.
-
-
Kutembelea Kituo cha Viungo BandiaAmkeni!—2006 | Februari
-
-
[Picha]
Mikono inayoelekezwa na elektroni hutumia ishara za misuli kuongoza mwendo na uwezo wa kushika vitu
[Hisani]
Hands: © Otto Bock HealthCare
-
-
Kutembelea Kituo cha Viungo BandiaAmkeni!—2006 | Februari
-
-
[Picha katika ukurasa wa 23]
Mkono mdogo bandia unaotumiwa kuzoeza watoto wachanga waliokatwa viungo
-