-
Visiwa VinavyojengwaAmkeni!—1998 | Mei 22
-
-
Kilauea, ambayo ndiyo volkano changa zaidi na iko upande wa kusini wa kisiwa hicho.
-
-
Visiwa VinavyojengwaAmkeni!—1998 | Mei 22
-
-
Mauna Loa na Kilauea zimethibitika kuwa kati ya volkano tendaji zaidi ulimwenguni. Rekodi za kihistoria kutoka kwa wenyeji wa Hawaii, wamishonari, wanasayansi, na wengine huonyesha kwamba milipuko 48 imetokea katika Mauna Loa tangu mwaka wa 1832 na zaidi ya milipuko 70 katika Kilauea tangu mwaka wa 1790. Milipuko hii imedumu kutoka muda wa saa kadhaa hadi miaka kadhaa. Uliokuwa mrefu zaidi uliorekodiwa ulikuwa ziwa la lava katika kreta ya Halemaumau katika Kilauea, ambao ulikuwa tendaji karibu kwa mfululizo tangu mapema mwa miaka ya 1800 hadi 1924. Kwa sasa, Kilauea imekuwa ikilipuka tangu Januari 1983, mara kwa mara ikitokeza mabubujiko ya moto yenye kutazamisha na mito ya lava ambayo imetiririka katika bahari.
-
-
Visiwa VinavyojengwaAmkeni!—1998 | Mei 22
-
-
Hata hivyo, katika visa vichache, maji ya chini ya ardhi huchanganyika na magma, ikitokeza milipuko ya mvuke. Katika 1790, mlipuko kama huo uliwaua karibu watu 80 wakati kikosi cha wanavita wenyeji na familia zao walipofunikwa ndani ya gesi moto na vipande vya lava vilivyotupwa kutoka katika Kilauea.
-
-
Visiwa VinavyojengwaAmkeni!—1998 | Mei 22
-
-
Mstari wa mabubujiko katika ufa wa mashariki ya Kilauea
[Picha katika ukurasa wa 24, 25]
Mlipuko kwenye Kilauea
-
-
Visiwa VinavyojengwaAmkeni!—1998 | Mei 22
-
-
Mlipuko juu ya Kilauea
-
-
Visiwa VinavyojengwaAmkeni!—1998 | Mei 22
-
-
Ziwa la lava juu ya Kilauea
-