-
Visiwa VinavyojengwaAmkeni!—1998 | Mei 22
-
-
Kwa hakika, vikipimwa kutoka kwenye msingi kwenye sakafu ya bahari, Mauna Kea na Mauna Loa kwenye kisiwa cha Hawaii vina urefu wa meta 10,000. Hivyo, kwa njia fulani ndiyo milima mirefu zaidi ulimwenguni!
-
-
Visiwa VinavyojengwaAmkeni!—1998 | Mei 22
-
-
Mauna Kea, ambayo yafikiriwa kuwa volkano bwete na hujivunia kilele kirefu zaidi katika Hawaii, meta 4,205 juu ya usawa wa bahari;
-