Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Visiwa Vinavyojengwa
    Amkeni!—1998 | Mei 22
    • Kwa hakika, vikipimwa kutoka kwenye msingi kwenye sakafu ya bahari, Mauna Kea na Mauna Loa kwenye kisiwa cha Hawaii vina urefu wa meta 10,000. Hivyo, kwa njia fulani ndiyo milima mirefu zaidi ulimwenguni!

  • Visiwa Vinavyojengwa
    Amkeni!—1998 | Mei 22
    • Mauna Loa, ambayo iko na urefu wa meta 4,169 na ndiyo volkano kubwa zaidi katika Hawaii kwa ukubwa;

  • Visiwa Vinavyojengwa
    Amkeni!—1998 | Mei 22
    • Mauna Loa na Kilauea zimethibitika kuwa kati ya volkano tendaji zaidi ulimwenguni. Rekodi za kihistoria kutoka kwa wenyeji wa Hawaii, wamishonari, wanasayansi, na wengine huonyesha kwamba milipuko 48 imetokea katika Mauna Loa tangu mwaka wa 1832 na zaidi ya milipuko 70 katika Kilauea tangu mwaka wa 1790. Milipuko hii imedumu kutoka muda wa saa kadhaa hadi miaka kadhaa.

  • Visiwa Vinavyojengwa
    Amkeni!—1998 | Mei 22
    • Mto wa lava juu ya Mauna Loa

  • Visiwa Vinavyojengwa
    Amkeni!—1998 | Mei 22
    • Mlipuko juu ya Mauna Loa

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki