Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kujenga Pamoja Duniani Pote
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Jina Jumba la Ufalme lilidokezwa katika 1935 na J. F. Rutherford, aliyekuwa wakati huo msimamizi wa Watch Tower Society. Kuhusiana na vifaa vya tawi la Sosaiti katika Honolulu, Hawaii, alipanga ndugu wajenge jumba ambamo mikutano ingefanyiwa. Wakati James Harrub alipouliza Ndugu Rutherford angeliitaje jengo hilo, yeye alijibu: “Waonaje tukiliita kwa jina ‘Jumba la Ufalme,’ kwa kuwa ndivyo tunavyofanya, kuhubiri habari njema za Ufalme?”

  • Kujenga Pamoja Duniani Pote
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • [Picha katika ukurasa wa 318]

      Jengo la kwanza lililoitwa Jumba la Ufalme, katika Hawaii

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki