Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wokovu na Kushangilia Chini ya Utawala wa Mesiya
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • b Neno la Kiebrania linalotafsiriwa “tawi” ni ne’tser, na lile linalotafsiriwa “Mnazareti” ni Nots·riʹ.

  • Wokovu na Kushangilia Chini ya Utawala wa Mesiya
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 5 Yesu ndiye Mesiya aliyeahidiwa. Mathayo, mwandikaji wa gospeli, alirejezea maneno ya Isaya 11:1 aliposema kwamba Yesu alipoitwa “Mnazareti,” jina hilo lilitimiza maneno ya manabii. Kwa kuwa Yesu alilelewa mjini Nazareti, aliitwa Mnazareti, jina ambalo labda lahusiana na neno la Kiebrania lililotumiwa katika Isaya 11:1, yaani, “tawi.”b—Mathayo 2:23, NW, kielezi-chini; Luka 2:39, 40.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki