-
“Fuliza Kushikilia kwa Imara Kile Ulicho Nacho”Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na kwa malaika wa kundi katika Filadelfia andika: Hivi ndivyo vitu ambavyo husema yeye ambaye ni mtakatifu,
-
-
“Fuliza Kushikilia kwa Imara Kile Ulicho Nacho”Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
3. Ni kwa nini inafaa Yesu aitwe “mtakatifu,” na inaweza kusemwaje kwamba yeye ni “wa kweli”?
3 Yohana alikuwa amesikia Petro akisema kwa binadamu Yesu Kristo hivi: “Wewe unayo maneno ya uzima wa milele. Nasi tumesadiki, tena tumejua, ya kuwa wewe ndiye Mtakatifu wa Mungu.” (Yohana 6:68, 69) Kwa kuwa Yehova Mungu ndiye asili yenyewe ya utakatifu, Mwanaye mzaliwa-pekee lazima pia awe “mtakatifu.” (Ufunuo 4:8)
-