-
Ole wa Kwanza—NzigeUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na mifanano ya nzige ilishabihi farasi walio tayari kwa ajili ya pigano; na juu ya vichwa vyao palikuwa na kilichoonekana kuwa mataji kama dhahabu, na nyuso zao zilikuwa kama nyuso za wanadamu,
-
-
Ole wa Kwanza—NzigeUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
14. Ni kwa nini elezo la Yohana kuhusu hao nzige lilikifaa kile kikundi cha Wakristo waliohuishwa katika 1919?
14 Hii hutoa vizuri kielezi cha kikundi kishikamanifu cha Wakristo waliohuishwa katika 1919. Kama farasi, walikuwa tayari kwa ajili ya pigano, wakiwa na hamu nyingi ya kupigania ukweli katika njia aliyoeleza mtume Paulo. (Waefeso 6:11-13; 2 Wakorintho 10:4)
-