Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mahali Ambapo Mabara Sita Huungana
    Amkeni!—2005 | Februari 22
    • Hifadhi hiyo ina makundi ya farasi wa Przewalski. Katika mwaka wa 1899, farasi hao walitolewa Mongolia na kupelekwa katika hifadhi ya Askaniya-Nova. Inasemekana kwamba farasi hao walitoweka msituni katika miaka ya 1960 kwa sababu ya kuwindwa na kukosa chakula.

      Kwa sasa kuna farasi 1,100 hivi wa Przewalski katika hifadhi mbalimbali. Farasi mia moja kati yao wako katika Hifadhi ya Askaniya-Nova. Wanasayansi wanajaribu kuwarudisha wanyama hao msituni. Katika mwaka wa 1992 na 1993, farasi 21 wa Przewalski walipelekwa Mongolia.

  • Mahali Ambapo Mabara Sita Huungana
    Amkeni!—2005 | Februari 22
    • [Picha katika ukurasa wa 16]

      Farasi wa Przewalski

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki