-
Iceland2005 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Hatua nyingine muhimu ilikuwa kufunguliwa kwa ofisi ya tawi mnamo JanuariĀ 1, 1962. Ofisi ya tawi ya Marekani ndiyo iliyokuwa ikisimamia kazi ya kuhubiri nchini Iceland ambayo mwanzoni ilisimamiwa na ofisi ya tawi ya Denmark.
-
-
Iceland2005 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
[Picha katika ukurasa wa 220]
Ofisi ya tawi ilikuwa katika jengo hili kuanzia mwaka wa 1962 hadi 1968
-