Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ninaweza Kuwa na Furaha Katika Familia ya Mzazi Mmoja?
    Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
    • Kwa nini usiione familia yenu kama timu ya wapiga-makasia katika mashua? Ni kweli kwamba mashua inahitaji idadi kamili ya wapiga-makasia. Katika familia ya mzazi mmoja, mmoja wa wapiga-makasia anakosekana, kwa hiyo, waliobaki wanahitaji kufanya kazi kwa bidii zaidi. Je, inamaanisha kwamba familia hiyo haiwezi kufaulu? Hapana! Waliobaki wakishirikiana pamoja, mashua hiyo inaweza kuendelea kuelea mpaka mwisho wa safari.

  • Ninaweza Kuwa na Furaha Katika Familia ya Mzazi Mmoja?
    Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
    • [Picha katika ukurasa wa 210, 211]

      Familia ya mzazi mmoja ni kama mashua inayokosa mmoja wa wapiga-makasia—wale wengine watalazimika kuongeza bidii, hata hivyo, wanaweza kufanikiwa wakifanya kazi bega kwa bega

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki