Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Imani Yao Ilishinda Jaribu Kali
    Sikiliza Unabii wa Danieli!
    • Sanamu hiyo ilikuwa na kimo cha dhiraa 60 (meta 27) na upana wa dhiraa 6 (meta 2.7).c Watu fulani huamini kwamba sanamu hiyo ilikuwa nguzo tu, au mnara mrefu wenye pande mraba zilizochongoka juu. Yawezekana kwamba ilikuwa na jukwaa lenye kimo cha juu sana ambalo lilikuwa na sanamu kubwa sana yenye umbo la kibinadamu, ambayo huenda ilimwakilisha Nebukadreza mwenyewe au mungu Nebo.

  • Imani Yao Ilishinda Jaribu Kali
    Sikiliza Unabii wa Danieli!
    • c Kwa sababu sanamu hiyo ilikuwa kubwa sana, wasomi fulani wa Biblia huamini kwamba ilitengenezwa kwa mbao kisha ikafunikwa kwa dhahabu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki