Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Tauni za Yehova juu ya Jumuiya ya Wakristo
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 39. (a) Azimio lililokubaliwa kwenye mkusanyiko katika 1925 lilielezaje nuru bandia ya Jumuiya ya Wakristo? (b) Ni mfichuo gani mwingine uliofanywa katika 1955?

      39 Kupatana na mbiu hiyo ya kimbingu, halaiki ya watu wa Mungu, walikusanyika katika mkusanyiko katika Indianapolis, Indiana, U.S.A., Agosti 29, 1925, na wakakubali lichapwe azimio lenye kusema mambo wazi likiwa na kichwa “Ujumbe wa Tumaini.” Kwa mara nyingine tena, nakala milioni 50 zilienezwa katika lugha kadhaa. Lilieleza kwamba kwa sababu ya nuru bandia inayotolewa na muungano wa wachumaji-faida wa kibiashara, viongozi wa kisiasa, na viongozi wa kidini, “vikundi vya watu vimeanguka ndani ya giza.” Nalo lilielekeza kwenye Ufalme wa Mungu kuwa ndio tumaini halisi kwa ajili ya kupokea “baraka za amani, ufanisi, afya, na uhai, uhuru na furaha ya milele.”

  • Tauni za Yehova juu ya Jumuiya ya Wakristo
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • [Picha katika ukurasa wa 141]

      “Ujumbe wa Tumaini” (1925)

      Azimio hili la wazi lilitumiwa kufichua vyanzo vya Jumuiya ya Wakristo vinavyodhaniwa kuwa nuru kuvionyesha kuwa vyanzo vya giza kweli kweli

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki