Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova Anafunua Mambo Ambayo “Lazima Yatendeke Upesi”
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Juni 15
    • 8, 9. (a) Serikali kuu ya saba ya ulimwengu ilionyesha jinsi gani nguvu kama za chuma? (b) Udongo ulio katika miguu ya ile sanamu unafananisha nini?

      8 Nyakati nyingine, kichwa cha saba cha mnyama huyo kimeonyesha nguvu kama za chuma. Kwa mfano, kilithibitisha kwamba kina nguvu kiliposhinda Vita vya Kwanza vya Ulimwengu. Katika Vita vya Pili vya Ulimwengu, kichwa cha saba kilionyesha pia nguvu kama za chuma.c Hata baada ya vita hivyo, mara kwa mara kichwa cha saba kilionyesha nguvu kama za chuma.

  • Yehova Anafunua Mambo Ambayo “Lazima Yatendeke Upesi”
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Juni 15
    • c Danieli alitabiri uharibifu mbaya ambao mfalme huyo angesababisha wakati wa vita hivyo kwa kuandika hivi: “Naye atasababisha uharibifu kwa njia ya ajabu [ya kutisha].” (Dan. 8:24) Kwa mfano, Marekani ilisababisha uharibifu usio na kifani ilipoangusha mabomu mawili ya atomu juu ya maadui wa serikali hiyo pacha ya ulimwengu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki