Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Nabii wa Kale Mwenye Ujumbe wa Kisasa
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 4. Isaya alikuwa nani, naye alitumikia lini akiwa nabii wa Yehova?

      4 Katika mstari wa kwanza wa kitabu chake, Isaya ajitambulisha kuwa “mwana wa Amozi,”a naye atuambia kuwa alitumikia akiwa nabii wa Mungu katika “siku za Uzia na Yothamu na Ahazi na Hezekia, wafalme wa Yuda.” (Isaya 1:1) Hii ingemaanisha kwamba Isaya aliendelea kutumikia akiwa nabii wa Mungu kwa taifa la Yuda kwa angalau miaka 46, labda kuanzia mwishoni mwa utawala wa Uzia—wapata mwaka wa 778 K.W.K.

  • Nabii wa Kale Mwenye Ujumbe wa Kisasa
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • MIAKA YA UTUMISHI: Angalau miaka 46, kuanzia karibu mwaka wa 778 K.W.K. hadi wakati fulani baada ya mwaka wa 732 K.W.K.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki