-
Kuchapa na Kugawanya Neno Takatifu la Mungu MwenyeweMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Baada ya kutolewa kwa chapa ya Kiitalia ya New World Translation hadi kufikia 1992, kulikuwa na nakala 3,597,220 zilizogawanywa; nyingi zazo zikiwa Biblia kamili. Watu walitaka kujichunguzia wenyewe yale yaliyomo katika Neno la Mungu. Kwa kupendeza, wakati wa kipindi hichohicho, idadi ya Mashahidi wa Yehova katika Italia ilipanda sana—kutoka 7,801 hadi 194,013.
-
-
Kuchapa na Kugawanya Neno Takatifu la Mungu MwenyeweMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Italia
150,000
100,000
50,000
1963 1970 1980 1992
-