-
Niliogopa Kifo—Sasa Ninangoja ‘Uzima kwa Wingi’Mnara wa Mlinzi—2011 | Julai 15
-
-
Hivyo, mwezi mmoja baadaye nikaanza utumishi wangu katika Betheli huko Milan. Kulikuwa na wamishonari wanne katika Betheli hiyo: Giuseppe (Joseph) Romano na mke wake, Angelina; Carlo Benanti na mke wake, Costanza.
-
-
Niliogopa Kifo—Sasa Ninangoja ‘Uzima kwa Wingi’Mnara wa Mlinzi—2011 | Julai 15
-
-
Ndugu George Fredianelli, mmishonari wa kwanza ambaye alikuja Italia kutoka Marekani mwaka wa 1946, tayari alikuwa akifanya kazi ya kusafiri. Alinizoeza kwa majuma machache, kisha nikaanza kufanya kazi hiyo nikiwa peke yangu.
-